Semina
Semina ya Ufugaji wa Kuku Kigoma
Semina ya Ufugaji wa Kuku Kigoma
Kuhusu Tukio Hili
Backbone Tanzania iliandaa semina ya ufugaji wa kuku tarehe 28 Machi 2026, katika Wallet Lounge Arena, Kigoma. Semina hiyo ilihudhuriwa na zaidi ya wafugaji 126. Tunaandaa semina na warsha mara kwa mara ili, Kufundisha mbinu bora za kuongeza uzalishaji, Kuelimisha wafugaji kuhusu magonjwa na namna ya kuyazuia, Kueleza matumizi sahihi na faida za bidhaa zetu, Kujibu maswali na kusaidia kutatua changamoto za ufugaji, Kutoa ushauri kulingana na mahitaji ya wafugaji.